Free Web Hosting by Netfirms
Web Hosting by Netfirms | Free Domain Names by Netfirms

"Zaburi 27:1-3 Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumaini.



Gazeti INJILI
Kwenye Internet

http://munishi.netfirms.com

Tel. 254722602445 E-mail:
fmunishi@hotmail.com
Discussions Board

Mkapa anawaibia watanzania akitumia utandawizi
Serikali ya Tanzania inakosea kuuza mashirika ya umma kwa watu binafsi. Siasa ya ujamaa ambayo hatujaikana hadharani inakataza hilo. Wananchi wanapolalamika kuhusu soko huru wana haki ya kufanya hivyo kwani hawajatayarishwa kuingia katika mfumo wa soko huria. Wanachokijua ni mfumo wa kuingoja serikali iwafanyie kila kitu. Hata kuwatoza Watanzania kodi ni makosa. Kodi ni pato la ziada kutoka katika biashara. Kama watanzania hawajaingia kabisa katika ushindani wa kibiashara katika soko huria, kuwatoza kodi ni kuzidi kuwadidimiza na kuwafanya watoke kabisa katika huo UTANDAWIZI wa SOKO HURIA. Habari zaidi

Munishi atanda kwenye mtandao wa Internet

"Bwana ni ngome ya uzima wangu " Mwinjilisti Faustin S. Munishi

Alianza kama mchezo, Sasa Munishi ametanda katika kila kona ya mtandao wa Internet duniani. Anamiliki website zaidi ya kumi, Anashiriki katika majadiliano online katika kumbi za mijadala zaidi ya 40, pia hutumia kumbi hizo kuzitangaza website zake. Hafai kupuuziwa. Ni msanii anaetumia nishati kupeleka ujumbe wake duniani. Amefanikiwa kwa kiasi kikubwa kufanya hivyo.

Injili inalinda maslahi ya Mungu duniani. Watu dunia na vyote vilivyoko ni mali ya Mungu. Hatuwezi kunyamaza wakati Mkapa na kundi lake wanapowaua waislamu zaidi ya 70 huko Zanzibar kwa sababu za kisiasa. Hata kama waliouawa siyo wakristo, lakini ni watu wa Mungu. Tukilinyamazia kesho itakuwa zamu yetu kuuawa. Hatuna nia kujiunga kwenye siasa, lakini wanasiasa wanapoyaingilia maslahi ya Mungu, chombo pekee kukemea hayo ni INJILI. Tunapowakemea wanasiasa, ndiyo tunaihubiri Injili. Tunaponyamaza ndiyo tumechanganya siasa na dini. Kwa hiyo sisi tunaokemea maovu yatendwayo na Mkapa, ndio tunaoihubiri Injili. Wale wanaowaunga Mkono kina Mkapa na kikosi chake cha mauaji ndio tunaotakiwa kuwaambia waachane na siasa kwani itawatoa katika kweli. Nasikitika kusema kwamba tayari wameshatoka katika kweli. Kwa hiyo siwezi kuacha kuyakemea maovu wanasiasa wayatendeayo jamii. Nikifanya hivyo nitakuwa nimekoma kuihubiri Injili.Habari zaidi

Hotuba ya Munishi kwa Taifa: "Siasa ni mbaya"

"Zaburi 27:1-3 Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumaini. Amen."
Mwinjilisti na mwimbaji wa nyimbo za INJILI Mchungaji Faustin S. Munishi akilihutubia Taifa kutoka katika studio za gazeti la Injili River Road Nairobi
Bonyeza HAPA kwa picha zaidi 2 3 4



Gospel tape banned by Dar officials Wewe Unasemaje? "Zaburi 27:1-3 Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, Nimwogope nani? Bwana ni ngome ya uzima wangu, Nimhofu nani? Watenda mabaya waliponikaribia, Wanile nyama yangu, Watesi wangu na adui zangu, Walijikwaa wakaanguka. Jeshi lijapojipanga kupigana nami, Moyo wangu hautaogopa. Vita vijaponitokea, Hata hapo nitatumaini. http://ktn2.netfirms.com http://nipashe.netfirms.com munishifaustin.netfirms.com Mijadala uhuru wa kusema http://nation.netfirms.com


Study The Bible

Passage (eg. John 3:16):

Search word(s) (eg. saved):


Faustin Munishi Tell. 25472602445 Nairobi Kenya East Africa
E-mail: fmunishi@hotmail.com  |  munishifaustin@yahoo.com

You are Visitor Number

Discussions Board since 14th February 2001
Check mail at Hotmail
Check Mail at Yahoo